MAANDALIZI YA LIVE DVD RECORDING YA UKO HAPA YA JOHN LISU YAENDELEA KUPAMBA MOTO!

Ile siku inayosubiriwa kwa hamu kubwa na wakazi wa jiji la DSM na Tanzania kwa ujumla  inakaribia ambapo mwanamziki John Lisu atafanya LIVE DVD Recording pale CCC-Upanga, blog ilipata nafasi ya kuongea na John Lisu nae alisema maandalizi yanaendelea vizuri sana ili kufanikisha live recording ile siku ya tarehe 06, October 2013.

Hapa ni baadhi ya picha za maandalizi mbalimbali ya Live DVD Recording.

USIPANGE KUKOSA! WAHI TIKETI YAKO MAPEMAAAA!

Mr and Mrs John Lisu
Preview ya jukwaa litakavyokua…kama joyous vile!
Mazoezi yakiendelea..
cont..
WAHI TIKETI YAKO MAPEMA, TIKETI ZINAPATIKANA DPC KINONDONI, MWENGE DUKA YA KANDA NA MBOGO SHOP KKOO
Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s