Tanzania inarudisha nyuma maendeleo ya Africa Mashariki

Miaka ya nyuma,Museveni aliwahi sema Tanzania ina rudisha nyuma maendeleo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Jana ili dhihirika kwamba sio museveni tu mwenye mawazo hayo bali majembe yote ya kazi.
Ukiona mwenzenu kazubaa fanyeni kazi,mkifanikiwa ipo siku atakuja wapigia magoti “msinitenge jamani mimi ni ndugu yenu”.

Moja kati ya maazimio waliyo fikia,lililo nifurahisha zaidi ni kujenga bomba la mafuta kwanzia mombasa,hadi kampla,then Rwanda.

Hii itakua ni pamoja na Kujenga reli pamoja na kuanzisha Refinery nyingine (Kumbuka Kenya wanayo refinery iliyo active tayari,Tanzania tuliizika yetu mwaka 1999. ).

Refinery hii ikijengwa,pamoja na bomba la mafuta,pamoja na reli mpya,ina maanisha hakutakua na usafirishaji wa mafuta toka Tanzania kwenda Rwanda,Burndi wala Congo DRC,wala bandari yetu haitakua na mvuto tena kwa majirani zetu. Bandari ya Mombasa itatoa huduma kwa gharama ndogo sana,lakini ikiwa na wateja wengi.

Hongereni Kenya kwa kuona fursa hiyo kubwa sana ya kibiashara kwa kutumia Bandari ya Mombasa,…..sisi bado safisha jiji kumkaribisha obama,na akija shida zetu zote zitakua historia.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s