Wanandoa waishi Chini ya Mwamba kwa Miaka 30 Sasa!

Watu wengi wanafikiri kuishi chini ya mwamba ni utani au Haiwezekani. Kuna wanandoa wa mexico (Marekani ya kusini) wamekuwa kwakiishi chini ya mwamba kwa miaka thelathini sasa.

Mwandishi aliwatembelea wanandoa hao siku za hivi karibuni, Bwana Benito harnandez na mkewe Santa Martha de  la cruz Villarreal wamekuwa wakiishi maisha ya kawaida kabisa  maili 50 kusini mwa jimbo la Taxes.

Bwana benito ni mkulima na mkusanyaji wa zao linaloitwa candelilla ambalo hutumika kutengenezea gundi.

Akisimulia kuhusu maisha yake kwamba eneo hilo aliliona zaidi ya miaka 55 iliyopita akiwa na miaka 8 na akaamua kwamba siku moja hayo yawe makazi yake huko jangwani, na miaka ishirini baadaye alianzisha makazi yake ya kudumu katika mwamba huo baada ya kupata hati miliki ya eneo hilo.

santa Martha akimwangalia mumewe jikoni, chini ya mwamba.

 

“Akisimulia kuhusu maisha yake anasema akiwa na miaka nane alipenda kutembelea eneo hilo la uvunaji wa  candelilla, na akalipenda. baada ya Hapo niliendelea kulitembelea eneo hili kila baada ya miezi mitatu hadi minne. Nilikuwa bado sijaoa wakati huo na niliendelea kuja mahala hapa nikipakaja kwani huku kwetu eneo linakua lako kuma unaendelea kulitembelea na kutamka kuwa ni la kwako kwa muda mrefu, Benito anamwambia mwandishi wa International Business times.

Nyumba hiyo chini ya mwamba imejengwa kwa matofari mabichi na sementi, chini hapajasakafiwa , wanajiko la kutumia kuni, ni vigumu kuweka umeme hapo ndani. Jirani kuna chemichemi inayotoa maji safi kabisa ingawa wakati wa majira ya baridi maji hayo huwa yanakuwa ya baridi sana hadi kuganda.

“HUWA NAPATA BARIDI SANA NA NAHANGAIKA NAMNA YA KUPATA CHAKULA,huwa tunafanya kazi sana katika mashamba ya candilella maana ndio kazi pekee tuliyonayo, na inatusababisha tuishi” anasema Benito .

benito anawatoto saba sita kati yao wameoa na kuolewa na wanaishi maeneo ya karibu.

mjukuu wa Benito akiwa mlangoni.

Habari na Reuters.

imefasiliwa na Awali!

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s